Pages

Tuesday, August 16, 2011

mwezi wa ramadhan na futari za aina aina....

Kuna vyakula ambavyo mara nyingi huliwa kipindi cha Ramadhan tu kama hivi...
huu ni muhogo wa nazi na samaki wa kukaanga
ndizi za mkono wa tembo za nazi na sukari
maboga ya nazi
mkate wa ufuta
vyakula hivi mara nyingi vinaliwa sana kwenye mfungo huu wa ramadhan,na kama umeona vingi vinatumia nazi  kupikwa.
Bila kusahau UJI 
uji ndio huwa haukosi kipindi hichi cha mfungo