hi there,najua kuna watu ambao wanapendelea latest fashion trends,leo tuangalie style mpya za kufunga hijab tukiacha zile tulizozoea i hope mumenipata,hizi style hazijali umri wala nayakati...cheki kama hii....
Wednesday, June 29, 2011
Mke wa Frank
Mke WA Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi
videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za
dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani
asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank
akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.
Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, “Mambo Frank!” “Poa”
“Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu?” mke akauliza
“Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time
hapa” akajibu Frank
Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager.
Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza,
“amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?”
Wakati Frank anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba
akawa amefika na kuuliza.
“Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji
nitawaletea huko huko”
Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama
chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.
Wakati anapatana bei na dereva, Frank naye akaingia. Mama
yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga
kwikwi akamsikia dereve anasema.
“Duh, eee bwana Frank huyu wa leo uliyemuokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!”
mamaa akazimiaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Tuesday, June 28, 2011
2Face & D'banj win Best International Act(Africa) award at 2011 BET Awards
Chezeeaaa Nigerians,word is 2Face na D'banj wapata shavu BET kwa kupata tuzo za best International Act (Africa) mwaka huu wa 2011 katika BET Awards. Wasanii hawa walishindanishwa na wasanii wengine wa Africa akina D-black wa Ghana,Angelique Kidjo wa wa Benin,Teargas from Madiba South na Fally Ipupa wa Congo DRC.
Wanageria hawa wameonyesha kuwa Nigerians have talent za kumwaga baada ya kutwaa tuzo hizo wote wawili..
cheezeeaaa sasa oohhhh
Wanageria hawa wameonyesha kuwa Nigerians have talent za kumwaga baada ya kutwaa tuzo hizo wote wawili..
cheezeeaaa sasa oohhhh
AY records with Lil Romeo
msanii wa bongo AY amerekodi wimbo na Rapper maarufu wa US Lil Romeo katika studio za No limits,ambayo inamilikiwa na Master P,baba mzazi wa Lil Romeo.
AY alipohojiwa anasema kuwa collabo ilifanyiwa set up mwaka jana alipokwenda kwenye studio hizo kurekokodi wimbo na Msanii maarufu Sean Kingston.
AY alizungumza na gazeti la Tanzania,Citizen daily alisema "i am ecstatic about the opportunity of working with the artists outside the continent and i will continue pursuing such efforts because its not the first time the Leo artist singer collaborated with American artist"
well done AY all the best in your career....

Subscribe to:
Posts (Atom)